Hos. 7:13 Swahili Union Version (SUV)

Ole wao! Kwa kuwa wamenikimbia; uharibifu na uwapate! Kwa kuwa wameniasi; ingawa ninataka kuwakomboa, hata hivyo wamenena uongo juu yangu.

Hos. 7

Hos. 7:8-16