Hos. 7:10 Swahili Union Version (SUV)

Na kiburi cha Israeli chamshuhudia mbele ya uso wake; ila hata hivyo hawakumrudia BWANA, Mungu wao, wala hawakumtafuta kwa ajili ya hayo yote.

Hos. 7

Hos. 7:1-16