Hos. 6:9 Swahili Union Version (SUV)

Na kama vile makundi ya wanyang’anyi wamwoteavyo mtu, ndivyo kundi la makuhani wauavyo katika njia ielekeayo Shekemu; naam, wametenda mambo maovu sana.

Hos. 6

Hos. 6:1-11