Hos. 6:3 Swahili Union Version (SUV)

Nasi na tujue, naam, tukaendelee kumjua BWANA; kutokea kwake ni yakini kama asubuhi; naye atatujilia kama mvua, kama mvua ya vuli iinyweshayo nchi.

Hos. 6

Hos. 6:1-6