Hos. 4:3 Swahili Union Version (SUV)

Kwa ajili ya hayo nchi itaomboleza, na kila mtu akaaye ndani yake atadhoofika, pamoja na wanyama wa kondeni na ndege wa angani; naam, samaki wa baharini pia wataondolewa.

Hos. 4

Hos. 4:1-11