Hos. 4:12 Swahili Union Version (SUV)

Watu wangu hutaka shauri kwa gongo lao, na fimbo yao huwahubiri mambo; maana roho ya uzinzi imewakosesha, nao wamekwenda kuzini mbali na Mungu wao.

Hos. 4

Hos. 4:3-16