Hos. 4:10 Swahili Union Version (SUV)

Nao watakula, lakini hawatashiba; watafanya zinaa, lakini hawataongezeka; kwa sababu wameacha kumwangalia BWANA.

Hos. 4

Hos. 4:1-13