Hos. 4:1 Swahili Union Version (SUV)

Lisikieni neno la BWANA, enyi wana wa Israeli; kwa maana BWANA ana mateto nao wakaao katika nchi, kwa sababu hapana kweli, wala fadhili, wala kumjua Mungu katika nchi.

Hos. 4

Hos. 4:1-10