Hos. 2:9 Swahili Union Version (SUV)

Basi kwa ajili ya hayo, nitaitwaa tena ngano yangu kwa wakati wake, na divai yangu kwa wakati wake, nami nitamnyang’anya sufu yangu na kitani yangu, vya kumfunika uchi wake.

Hos. 2

Hos. 2:1-15