Hos. 2:3 Swahili Union Version (SUV)

nisije nikamvua nguo zake akawa uchi, nikamweka katika hali aliyokuwa nayo siku ya kuzaliwa kwake, na kumfanya kama jangwa, na kumweka kama nchi kame, na kumfisha kwa kiu;

Hos. 2

Hos. 2:1-9