Hos. 14:8 Swahili Union Version (SUV)

Efraimu atasema, Mimi nina nini tena na sanamu? Mimi nimeitika, nami nitamwangalia. Mimi ni kama mberoshi wenye majani mabichi. Kwangu mimi yamepatikana matunda yako.

Hos. 14

Hos. 14:7-9