Hos. 14:3 Swahili Union Version (SUV)

Ashuru hatatuokoa; hatutapanda farasi; wala hatutaiambia tena kazi ya mikono yetu, Ninyi ndinyi miungu yetu; maana kwako wewe wasio na baba hupata rehema.

Hos. 14

Hos. 14:1-9