Hos. 10:8 Swahili Union Version (SUV)

Mahali pa Aveni palipoinuka, yaani, dhambi ya Israeli, pataharibika; mwiba na mbigili itamea juu ya madhabahu zake; nao wataiambia milima, Tusitirini; na vilima, Tuangukieni.

Hos. 10

Hos. 10:1-11