Hos. 10:12 Swahili Union Version (SUV)

Jipandieni katika haki, vuneni kwa fadhili; uchimbueni udongo wa mashamba yenu, kwa maana wakati umewadia wa kumtafuta BWANA, hata atakapokuja na kuwanyeshea haki.

Hos. 10

Hos. 10:3-15