Hos. 1:6 Swahili Union Version (SUV)

Akachukua mimba tena, akazaa mtoto mwanamke. BWANA akamwambia, Mwite jina lake Lo-ruhama; kwa maana sitairehemu nyumba ya Israeli tena, nisije nikawasamehe kwa njia yo yote.

Hos. 1

Hos. 1:1-10