Hes. 9:23 Swahili Union Version (SUV)

bali lilipoinuliwa walisafiri. Kwa amri ya BWANA walipiga kambi yao, na kwa amri ya BWANA walisafiri; wakayalinda malinzi ya BWANA, kwa mkono wa Musa.

Hes. 9

Hes. 9:22-23