Hes. 6:24-27 Swahili Union Version (SUV)

24. BWANA akubarikie, na kukulinda;

25. BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili;

26. BWANA akuinulie uso wake, na kukupa amani.

27. Ndivyo watakavyoweka jina langu juu ya wana wa Israeli; nami nitawabarikia.

Hes. 6