Hes. 5:17 Swahili Union Version (SUV)

kisha kuhani atatwaa maji matakatifu katika chombo cha udongo; kisha kuhani atatwaa katika vumbi lililo pale chini ya maskani, na kulitia katika hayo maji;

Hes. 5

Hes. 5:13-21