Hes. 34:27-29 Swahili Union Version (SUV)

27. Na katika kabila ya wana wa Asheri, mkuu, Ahihudi mwana wa Shelomi.

28. Na katika kabila ya wana wa Naftali, mkuu, Pedaheli mwana wa Amihudi.

29. Hao ndio BWANA aliowaagiza wawagawanyie urithi wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani.

Hes. 34