29. Wakasafiri kutoka Mithka, wakapanga Hashmona.
30. Wakasafiri kutoka Hashmona, wakapanga Moserothi.
31. Wakasafiri kutoka Moserothi, wakapanga Bene-yakani.
32. Wakasafiri kutoka Bene-yakani, wakapanga Hor-hagidgadi.
33. Wakasafiri kutoka Hor-hagidgadi, wakapanga Yotbatha.
34. Wakasafiri kutoka Yotbatha, wakapanga Abrona.
35. Wakasafiri kutoka Abrona, wakapanga Esion-geberi.
36. Wakasafiri kutoka Esion-geberi, wakapanga katika nyika ya Sini (ni Kadeshi).
37. Wakasafiri kutoka Kadeshi wakapanga katika mlima wa Hori, katika mpaka wa nchi ya Edomu,