Na wanadamu walikuwa watu kumi na sita elfu; katika hao sehemu ya BWANA ilikuwa ni watu thelathini na wawili.