Hes. 3:45 Swahili Union Version (SUV)

Uwatwae Walawi badala ya wazaliwa wa kwanza katika wana wa Israeli, na wanyama wa Walawi badala ya wanyama wao; na hao Walawi watakuwa wangu mimi; mimi ndimi BWANA.

Hes. 3

Hes. 3:44-47