Hes. 3:31 Swahili Union Version (SUV)

Na vitu watakavyovitunza ni hilo sanduku, na meza, na kinara cha taa, na madhabahu, na vile vyombo vya mahali patakatifu wavitumiavyo katika kutumika kwao, na pazia, na utumishi wake wote.

Hes. 3

Hes. 3:23-38