Hes. 29:39 Swahili Union Version (SUV)

Sadaka hizo mtamsongezea BWANA katika sikukuu zenu zilizoamriwa, zaidi ya nadhiri zenu, na sadaka zenu za hiari, kuwa sadaka zenu za kuteketezwa, na sadaka zenu za unga, na sadaka zenu za vinywaji, na sadaka zenu za amani.

Hes. 29

Hes. 29:33-40