Kisha akamwangalia Mkeni, akatunga mithali yake, akasema,Makao yako yana nguvu,Na kitundu chako kimewekwa katika jabali.