Tazama, watu hawa wanaondoka kama simba mke,Na kama simba anajiinua nafsi yake,Hatalala hata atakapokula mawindo,Na kunywa damu yao waliouawa.