Hes. 22:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Kisha wana wa Israeli wakasafiri na kupanga katika nchi tambarare za Moabu ng’ambo ya pili ya Yordani karibu ya Yeriko.

2. Na Balaki mwana wa Sipori akaona mambo yote ambayo Israeli wamewatendea Waamori.

Hes. 22