Hes. 2:32 Swahili Union Version (SUV)

Hao ndio waliohesabiwa katika wana wa Israeli kwa nyumba za baba zao; wote waliohesabiwa katika marago kwa majeshi yao, walikuwa mia sita na tatu elfu na mia tano na hamsini.

Hes. 2

Hes. 2:24-34