Hes. 19:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia,

2. Hii ndiyo amri ya sheria BWANA aliyoagiza, akisema, Waambie wana wa Israeli wakuletee ng’ombe mke mwekundu asiye na kipaku, mkamilifu, ambaye hajatiwa nira bado;

3. nanyi mtamleta kwa Eleazari kuhani, naye atakwenda naye nje ya kambi, na mtu mmoja atamchinja mbele yake;

Hes. 19