Hes. 18:12 Swahili Union Version (SUV)

Yaliyo mazuri katika mafuta, na yaliyo mazuri ya mavuno ya zabibu, na ya mavuno ya nafaka, malimbuko yake watakayompa BWANA, amekupa wewe hayo.

Hes. 18

Hes. 18:3-18