Hes. 15:3 Swahili Union Version (SUV)

nanyi mwataka kumsongezea BWANA sadaka kwa moto, kwamba ni sadaka ya kuteketezwa, au dhabihu ya kuchinjwa, ili kuondoa nadhiri, au kuwa sadaka ya hiari, au katika sikukuu zenu zilizoamriwa, ili kumfanyia BWANA harufu ipendezayo, katika ng’ombe, au katika kondoo;

Hes. 15

Hes. 15:2-6