Hes. 15:16-18 Swahili Union Version (SUV) Itakuwa sheria moja na amri moja kwenu ninyi na kwa mgeni akaaye nanyi. Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,