Hes. 13:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Kisha BWANA akanena na Musa, akamwambia,

2. Tuma watu, ili waende wakaipeleleze nchi ya Kanaani, niwapayo wana wa Israeli; katika kabila ya baba zao mtamtuma mtu mmoja, kila mtu na awe mkuu kati yao.

Hes. 13