Hes. 10:14 Swahili Union Version (SUV)

Mahali pa mbele ilisafiri beramu ya marago ya wana wa Yuda, kwa majeshi yao; na Nashoni mwana wa Aminadabu ndiye aliyekuwa juu ya jeshi lake.

Hes. 10

Hes. 10:6-22