Hes. 1:8-11 Swahili Union Version (SUV)

8. Wa Isakari; Nethaneli mwana wa Suari.

9. Wa Zabuloni; Eliabu mwana wa Heloni.

10. Katika wana wa Yusufu; wa Efraimu, Elishama mwana wa Amihudi; na wa Manase; Gamalieli mwana wa Pedasuri.

11. Wa Benyamini Abidani mwana wa Gideoni.

Hes. 1