Hab. 3:6 Swahili Union Version (SUV)

Akasimama, akaitetemesha dunia;Akatazama, akawasitusha mataifa;Na milima ya zamani ikatawanyika;Vilima vya kale vikainama;Miendo yake ilikuwa kama siku za kale.

Hab. 3

Hab. 3:1-12