Hab. 3:2 Swahili Union Version (SUV)

Ee BWANA, nimesikia habari zako, nami naogopa;Ee BWANA, fufua kazi yako katikati ya miaka;Katikati ya miaka tangaza habari yake;Katika ghadhabu kumbuka rehema.

Hab. 3

Hab. 3:1-8