Hab. 1:16-17 Swahili Union Version (SUV)

16. Kwa sababu hiyo huutolea wavu wake sadaka, na kulifukizia uvumba juya lake; kwa sababu kwa vitu vile fungu lake limenona, na chakula chake kimekuwa tele.

17. Je! Atawatoa walio katika wavu wake, asiache kuwaua watu wa mataifa daima?

Hab. 1