Flp. 3:1-2 Swahili Union Version (SUV) Hatimaye, ndugu zangu, furahini katika Bwana.Kuwaandikieni mambo yale yale hakuniudhi mimi, bali kutawafaa ninyi.