Hatimaye, ndugu zangu, furahini katika Bwana.Kuwaandikieni mambo yale yale hakuniudhi mimi, bali kutawafaa ninyi.