Ezr. 9:2 Swahili Union Version (SUV)

Maana wametwaa binti zao kuwa wake zao, na wake za watoto wao; basi mbegu takatifu wamejichanganya na watu wa nchi hizi; naam, mkono wa wakuu na mashehe umetangulia katika kosa hili.

Ezr. 9

Ezr. 9:1-9