Ezr. 8:17 Swahili Union Version (SUV)

Nikawapeleka kwa Ido, mkuu, huko Kasifia; nikawaambia watakayomwambia Ido, na ndugu zake hao Wanethini, huko Kasifia, kwamba watuletee watu watakaohudumu katika nyumba ya Mungu wetu.

Ezr. 8

Ezr. 8:9-24