Ezr. 7:27 Swahili Union Version (SUV)

Na ahimidiwe BWANA, Mungu wa baba zetu, aliyetia neno kama hilo katika moyo wa mfalme, kuipamba nyumba ya BWANA iliyoko Yerusalemu.

Ezr. 7

Ezr. 7:26-28