1. Ikawa baada ya mambo hayo, wakati wa kutawala kwake Artashasta, mfalme wa Uajemi, Ezra, mwana wa Seraya, mwana wa Azaria, mwana wa Hilkia,
2. mwana wa Shalumu, mwana wa Sadoki, mwana wa Ahitubu,
3. mwana wa Amaria, mwana wa Azaria, mwana wa Merayothi,
4. mwana wa Zerahia, mwana wa Uzi, mwana wa Buki,