Ezr. 2:7-13 Swahili Union Version (SUV)

7. Wana wa Elamu, elfu moja mia mbili hamsini na wanne.

8. Wana wa Zatu, mia kenda arobaini na watano.

9. Wana wa Zakai, mia saba na sitini.

10. Wana wa Binui, mia sita arobaini na wawili.

11. Wana wa Bebai, mia sita ishirini na watatu.

12. Wana wa Azgadi, elfu moja mia mbili ishirini na wawili.

13. Wana wa Adonikamu, mia sita sitini na sita.

Ezr. 2