Ezr. 2:65 Swahili Union Version (SUV)

tena, zaidi ya hao, kulikuwa na watumishi wao waume kwa wake, ambao walikuwa saba elfu, na mia tatu na thelathini na saba; nao walikuwa na waimbaji waume kwa wake mia mbili.

Ezr. 2

Ezr. 2:57-70