Ezr. 2:51-60 Swahili Union Version (SUV)

51. wana wa Bakbuki, wana wa Hakufa, wana wa Harhuri;

52. wana wa Basluthi, wana wa Mehida, wana wa Harsha;

53. wana wa Barkosi, wana wa Sisera, wana wa Tema;

54. wana wa Nesia, wana wa Hatifa.

55. Wa watumwa wa Sulemani; wana wa Sotai, wana wa Soferethi, wana wa Peruda;

56. wana wa Yaala, wana wa Darkoni, wana wa Gideli;

57. wana wa Shefatia, wana wa Hatili, wana wa Pokereth-Sebaimu, wana wa Amoni.

58. Wanethini wote, pamoja na watumwa wa Sulemani, walikuwa mia tatu tisini na wawili.

59. Na hawa ndio watu waliokwea kutoka Tel-mela, na Tel-harsha, na Kerubu, na Adani, na Imeri; walakini hawakuweza kuonyesha mbari za baba zao, wala kizazi chao, kwamba walikuwa wa Israeli;

60. wana wa Delaya, wana wa Tobia, wana wa Nekoda, mia sita hamsini na wawili.

Ezr. 2