39. Wana wa Harimu, elfu moja na kumi na saba.
40. Walawi; wana wa Yeshua, na wana wa Kadmieli wa wana wa Hodavia, sabini na wanne.
41. Waimbaji; wana wa Asafu, mia moja ishirini na wanane.
42. Akina bawabu; wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai; jumla yao ni mia moja thelathini na kenda.
43. Wanethini; wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaothi;
44. wana wa Kerosi, wana wa Siaha, wana wa Padoni;
45. wana wa Lebana, wana wa Hagaba, wana wa Akubu;
46. wana wa Hagabu, wana wa Salmai, wana wa Hanani;
47. wana wa Gideli, wana wa Gahari, wana wa Reaya;
48. wana wa Resini, wana wa Nekoda, wana wa Gazamu;