3. wana wa Paroshi, elfu mbili mia moja sabini na wawili.
4. Wana wa Shefatia, mia tatu sabini na wawili.
5. Wana wa Ara, mia saba sabini na watano.
6. Wana wa Pahath-Moabu, wa wana wa Yeshua na Yoabu, elfu mbili mia nane na kumi na wawili.
7. Wana wa Elamu, elfu moja mia mbili hamsini na wanne.
8. Wana wa Zatu, mia kenda arobaini na watano.