Ezr. 2:26-35 Swahili Union Version (SUV)

26. Watu wa Rama na Geba, mia sita ishirini na mmoja.

27. Watu wa Mikmashi, mia moja ishirini na wawili.

28. Watu wa Betheli, na Ai, mia mbili ishirini na watatu.

29. Watu wa Nebo, hamsini na wawili.

30. Watu wa Magbishi, mia moja hamsini na sita.

31. Watu wa Elamu wa pili, elfu moja mia mbili hamsini na wanne.

32. Watu wa Harimu, mia tatu na ishirini.

33. Watu wa Lodi, na Hadidi, na Ono, mia saba ishirini na watano.

34. Watu wa Yeriko, mia tatu arobaini na watano.

35. Watu wa Senaa, elfu tatu mia sita na thelathini.

Ezr. 2